N.I.H.F -KIKOA
N.I.H.F -KIKOA
FOREPLAN CLINIC
FOREPLAN CLINIC
Wednesday, March 11, 2015
Balozi wa China akutana na Rais Dk.Shein
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi wa China Nchini Tanzania Dr.Lu Youqing Uholanzi nchini Tanzania alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo (kulia) Balozi Mdogo wa China anayefanyia kazi Zanzibar Xie Yunliang,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi wa China Nchini Tanzania Dr.Lu Youqing Uholanzi nchini Tanzania alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na mgeni wake Balozi wa China Nchini Tanzania Dr.Lu Youqing Uholanzi nchini Tanzania baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika leo alipofika Ikulu Mjini Zanzibar,[Picha na Ikulu.]
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment