=============================================================
JK AOMBELEZA MSIBA WA RAIS WA SAHARA MAGAHARIBI
===============================================
KATIBU MKUU CHAMA CHA KIKOMINISTI BW. LIU ZHIJUN AKAMILISHA ZIARA YAKE ZANZIBAR NA KUELEKEA DAR-ES SAALAM
Banc ABC yaanzisha huduma ya kukuza biashara Afrika
=========================================
HEINEKEN HOSTS THE BIGGEST FOOTBALL PARTIES IN DAR TO #CHAMPIONTHEMATCH
===========================================
NAIBU WAZIRI WA HABARI MGENI RASMI AZANIA BANK KIDS RUN 2016 YATAKAYOFANYIKA KESHO KUTWA VIWANJA VYA MNAZI MMOJA JIJINI DAR E SALAAM
============================================
KAMPUNI YA SAFARI INDOOR DIGITAL (SID) KUTOA ELIMU KUPITIA MABASI.
==================================================
MADIWANI WA HALMASHAURI YA MJI WA KAHAMA WAUPONGEZA MGODI WA BUZWAGI
Afisa mazingira wa Mgodi wa Buzwagi Bwana Lusajo Njobelo akifafanua
jambo kwa waheshimiwa madiwani na mbunge wa Kahama mjini Jumanne
Kishimba wakati wa ziara hiyo.
Madiwani wakipata maelezo kutoka kwa Marco Peter katika eneo la uchimbaji.
Shimo ambalo shughuli za uchimbaji hufanyika kama linavyoonekana.
Eneo maalumu la kusagia mawe kabla ya kupelekwa kiwandani kwa ajili ya uchenjuaji wa dhahabu.
==============================================
diwani wa mwanga kusini mkoani Kigoma akishiriki shughuli za kijamii
============================================
ACT WAZALENDO WATANGAZA SIKU RASMI YA MAPOKEZI YA KIONGOZI WAO ZITTO NA WALE WA UKAWA
SHIWATA kumkabidhi Samatta eneo Jumapili
MAKAMU WA RAIS KUZINDUA JUKWAA LA UWEZESHAJI WANAWAKE KIUCHUMI,
Wazanzibari wahimizwa kupanda miti
SERIKALI YATOA UFAFANUZI KUHUSU TUHUMA ZILIZOTOLEWA NA MWANDISHI WA " THE ECONOMIST" GAZETI LA KIINGEREZA.
===================================================
VIONGOZI
wa Chama cha Mapinduzi CCM wakimsindikiza mgeni wao Katibu Mkuu Chama
cha Kikoministi Bw. Liu Zhijun wakati alipofika Bandarini Mjini
Zanzibar.
WAZIRI
wa Nchi Afisi ya Rais Baraza La Mapinduzi Issa Haji Gavu akizungumza na
Mgeni wake Katibu Mkuu Chama cha Kikoministi Bw. Liu Zhijun baada ya
kukamilisha ziara yake Nchini Zanzibar.
MWENYEKITI
wa CCM Wilaya ya Mjini Borafya Silima Juma akiagana na Katibu Mkuu
Chama cha Kikoministi Bw. Liu Zhijun alipokuwa akiondoka Bandarini na
kuelekea Dar es Saalamu.
MKUU
wa Mkoa wa Mjini Magharib Ayoub Mohammed akiagana na Katibu Mkuu
Chama cha Kikoministi Bw. Liu Zhijun alipokuwa akiondoka Bandarini na
kuelekea Dar es Saalamu.
WAZIRI
wa Nchi Afisi ya Rais Baraza La Mapinduzi Issa Haji Gavu akiagana na
Katibu Mkuu Chama cha Kikoministi Bw. Liu Zhijun alipokuwa akiondoka
Bandarini na kuelekea Dar es Saalamu.
KATIBU
Mkuu Chama cha Kikoministi Bw. Liu Zhijun aliyevaa nguo nyeusi
akiingia katika Boti ya AV KILIMANJARO alikielekea Dar es Saalamu baada
yakumaliza ziyaza yake Zanzibar.PICHA NA MIZA OTHMAN – HABARI MELEZO
ZANZIBAR.


Meneja Uendelevu wa Mgodi wa Buzwagi, George Mkanza akifafanua jambo
kwa madiwani wa halmshauri ya mji wa Kahama wakati ziara ya kutembelea
Mgodi huo.
Mwenyekiti wa halmashauri ya mji wa Kahama Abel Shija(mwenye skafu)
pamoja na waheshimiwa madiwani na wataalamu wa halmashauri hiyo
wakifuatilia kwa makini maelezo kutoka kwa wataalamu wa Mgodi huo. 





No comments:
Post a Comment