Moja ya Jengo ambalo linapatikana katika Misitu ya Mashamba ya Silverdale na Mbono, Hai kilimanjaro
Vijana wakikatiza katika Msitu huo, baada ya kupata chakula cha Mifugo
Mkazi wa Hai akiwa na furushi katika mashamba ya Silverdale na Mbono
Nyumba ikiwa katika hali mbaya baad ya kutelekezwa katika mashamba ya Silver na mbono
Nyumba ikiwa katika hali mbaya baad ya kutelekezwa katika mashamba ya Silver na mbonoNyumba ikiwa katika hali mbaya baad ya kutelekezwa katika mashamba ya Silver na mbono
Nyumba ikiwa katika hali mbaya baad ya kutelekezwa katika mashamba ya Silver na mbono
Nyumba ikiwa katika hali mbaya baad ya kutelekezwa katika mashamba ya Silver na mbono, ambayo pia ndani yake kuna idadi kubwa ya Mbao zikiwa zimehifadhiwa.
Wakazi wa Hai ambao wanafanya katika Mashamba ya Silver na Mbono, wakiendelea na kazi ya kulima Mashamba hayo
Baadhi ya Mboga zikiwa zinaendelea kustawi katika Mashamba ya Silver na Mbono hai kilimanjaro
Nyumba ikiwa katika hali mbaya baad ya kutelekezwa katika mashamba ya Silver na mbono, nyumba hii ilitumika kwa ajili ya kuhifadhi kahawa wakati huo.
Barabara ambayo inaelekea katika Mashamba ya Silverdale na Mbono
Nyumba ambayo ilijengwa na Bw, Benjamini Mengi, kabla ya Mahakama kuingilia kati, ikiwa kwa ajili ya malisho ya Mifugo
Nyumba ambayo ilijengwa na Bw, Benjamini Mengi, kabla ya Mahakama kuingilia kati, ikiwa kwa ajili ya malisho ya Mifugo, ikiwa imetelekezwa
wakulima na waangalizi wa Mashamba hayo wakiendelea na Ukaguzi
Baadhi ya Mimea ikiwa katika hali ya kustawi, katika Mashamba ya Silverdale na Mbono
kati ya eneo la Shamba hilo, upande wa kaskazini kati ya ekari 993 za ukubwa wa eneo
Mlizi akiwa katika Ukaguzi wa mashamba hayo yenye ukubwa wa ekari 993
Miche ya Nyanya ikiendelea kukua katika Mashamba ya Silverdale na Mbono
Mlizi akiwa katika Ukaguzi wa mashamba hayo yenye ukubwa wa ekari 993
Mahindi ndani ya Silverdale na Mbono
Kabeji
Eneo la Shamba
Eneo la Shamba
hapa nikiwa katika Geti ya kuingia katika Mashamba ya Silverdale na Mbono Hai, Moshi Kilimanjaro leo
Vitunguu, katika mashamba ya Silverdale
Moja ya Nyumba katika mashamba ya Silverdale na Mbono
Eneo la Shamba likiwa wazi katika mashamba ya Silverdale na Mbono
Eneo la Shamba likiwa wazi katika mashamba ya Silverdale na Mbono(Picha Zote na Shaaban Mpalule)>
Hapa ni katika Mashamba ya SILVERDALE & MBONO, Mashamba haya yalimilikishwa Vyama vya Ushirika Vitatu, yaani Uswaa/Mamba, Shari na Kyeeri, wakati Serikali ya
Muungano ya Tanzania ilipotaifisha Mashamba yaliyokuwa yanamilikiwa na Wakulima wageni Mkoani Kilimanjaro mwaka 1973 na 1974, Shabaha ya Serikali kumilikisha Vyama vya ushirika mashamba haya ilikuwa mapato yake yawezeshe wanavijiji husika kusukuma mbele maendeleo yao, lakini kwa zaidi ya miaka 25 tangu mashamba haya yalipokuwa chini ya uongozi wa bodi ya Vyama vya ushirika hayakuzaa matunda yaliyotazamiwa, kwa sababu hiyo wakati wa awamu ya tatu ya utawala chini ya uongozi wa Rais Benjamini Mkapa, Serikali ilishauri vyama vya ushirika kutafuta wawekezaji, na baada ya kamati ya vyama vya Uswa/Mamba, Shari na Kyeeri kukutana kwa pamoja walikubaliana kuwekeza kwa Mtanzania mwenzetu yaani wa kabila la kwetu, ambaye alikuwa akimiliki kampuni ya Milcafe ambayo baadaye iliitwa Fiona Tanzania L.t.d, ya Bwana Benjamini Mengi na Mke wake Millie B. Mengi. mashamba haya yana Eneo la Ekari 993, na hata hivyo baada ya kuwekezewa bwana Benjamini Mengi, yeye pia alitafuta wa kumwekeza na ndipo alipowekeza kwa Waingereza ambapo mnamo tarehe 21mei 2004 kampuni ya Fiona Tanzania Ltd. iliingia mkataba na David Stewart Middleton, na katika Mkataba huo Mpya kati ya M/S Fiona T. LTD, na David Stewart Middleton, mashamba ambayo yalikuwa yamekodishwa na na kampuni ya M/S Fioana T. ltd, kutoka kwenye vyama vitatu vya ushirika , yaani Uswa/Mamba, Shari na Kyeeri, hawa wawili waliamua kuyaingiza katika kampuni yao mpya kwa jina la Silverdale Tanzania limited, wao wenyewe wakiwa ndiyo Wakurugenzi , Bw, David Middleton akiwa na Hisa asilimia 70 na Bw, Benjamini Mengi akiwa na asilimia 30, Kampuni hii mpya Silverdale T. Ltd, ilikuwa iendeshe shuguli zote ambazo M/S Fiona T . ltd, ilikuwa ikizifanya kwenye Mashamba ya Silverdale na Mbono, Mkataba huo ulitayarishwa kwa mapatano kwamba Bw, David Stewart Middleton angemlipa Bw, Benjamini Mengi kiasi cha USA $ 112,000 yaani fedha za Kitanzania kwa thamani ya leo Shs. 1,150 ni Shs. 128,800,000. INAENDELEAA. au bofya hapa. www.ambassadorofdemocracytanzania.blogspot.com