N.I.H.F -KIKOA

N.I.H.F -KIKOA
N.I.H.F -KIKOA

FOREPLAN CLINIC

FOREPLAN CLINIC
FOREPLAN CLINIC

Tuesday, January 8, 2013

MGOGORO WA MASHAMBA YA -SILVERDALE & MBONO-

 Moja ya Jengo ambalo linapatikana katika Misitu ya Mashamba ya Silverdale na Mbono, Hai kilimanjaro
 Vijana wakikatiza katika Msitu huo, baada ya kupata chakula cha Mifugo
 Mkazi wa Hai akiwa na furushi katika mashamba ya Silverdale na Mbono
 Nyumba ikiwa katika hali mbaya baad ya kutelekezwa katika mashamba ya Silver na mbono
  Nyumba ikiwa katika hali mbaya baad ya kutelekezwa katika mashamba ya Silver na mbono
  Nyumba ikiwa katika hali mbaya baad ya kutelekezwa katika mashamba ya Silver na mbono
  Nyumba ikiwa katika hali mbaya baad ya kutelekezwa katika mashamba ya Silver na mbono
  Nyumba ikiwa katika hali mbaya baad ya kutelekezwa katika mashamba ya Silver na mbono, ambayo pia ndani yake kuna idadi kubwa ya Mbao zikiwa zimehifadhiwa.
 Wakazi wa Hai ambao wanafanya katika Mashamba ya Silver na Mbono, wakiendelea na kazi ya kulima Mashamba hayo
 Baadhi ya Mboga zikiwa zinaendelea kustawi katika Mashamba ya Silver na Mbono hai kilimanjaro
  Nyumba ikiwa katika hali mbaya baad ya kutelekezwa katika mashamba ya Silver na mbono, nyumba hii ilitumika kwa ajili ya kuhifadhi kahawa wakati huo.

 Barabara ambayo inaelekea katika Mashamba ya Silverdale na Mbono
 Nyumba ambayo ilijengwa na Bw, Benjamini Mengi, kabla ya Mahakama kuingilia kati, ikiwa kwa ajili ya malisho ya Mifugo
  Nyumba ambayo ilijengwa na Bw, Benjamini Mengi, kabla ya Mahakama kuingilia kati, ikiwa kwa ajili ya malisho ya Mifugo, ikiwa imetelekezwa
 wakulima na waangalizi wa Mashamba hayo wakiendelea na Ukaguzi
 Baadhi ya Mimea ikiwa katika hali ya kustawi, katika Mashamba ya Silverdale na Mbono
 kati ya eneo la Shamba hilo, upande wa kaskazini kati ya ekari 993 za ukubwa wa eneo
 Mlizi akiwa katika Ukaguzi wa mashamba hayo yenye ukubwa wa ekari 993
 Miche ya Nyanya ikiendelea kukua katika Mashamba ya Silverdale na Mbono
  Mlizi akiwa katika Ukaguzi wa mashamba hayo yenye ukubwa wa ekari 993
 Mahindi ndani ya Silverdale na Mbono
 Kabeji
 Eneo la Shamba
  Eneo la Shamba
 hapa nikiwa katika Geti ya kuingia katika Mashamba ya Silverdale na Mbono Hai, Moshi Kilimanjaro leo
 Vitunguu, katika mashamba ya Silverdale
 Moja ya Nyumba katika mashamba ya Silverdale na Mbono
Eneo la Shamba likiwa wazi katika mashamba ya Silverdale na Mbono
Eneo la Shamba likiwa wazi katika mashamba ya Silverdale na Mbono(Picha Zote na Shaaban Mpalule)>
Hapa ni katika Mashamba ya SILVERDALE & MBONO, Mashamba haya yalimilikishwa Vyama vya Ushirika Vitatu, yaani Uswaa/Mamba, Shari na Kyeeri, wakati Serikali ya
Muungano ya Tanzania ilipotaifisha Mashamba yaliyokuwa yanamilikiwa na Wakulima wageni Mkoani Kilimanjaro mwaka 1973 na 1974, Shabaha ya Serikali kumilikisha Vyama vya ushirika mashamba haya ilikuwa mapato yake yawezeshe wanavijiji husika kusukuma mbele maendeleo yao, lakini kwa zaidi ya miaka 25 tangu mashamba haya yalipokuwa chini ya uongozi wa bodi ya Vyama vya ushirika hayakuzaa matunda yaliyotazamiwa, kwa sababu hiyo wakati wa awamu ya tatu ya utawala chini ya uongozi wa Rais Benjamini  Mkapa, Serikali ilishauri vyama vya ushirika kutafuta wawekezaji, na baada ya kamati ya vyama vya Uswa/Mamba, Shari na Kyeeri kukutana kwa pamoja walikubaliana kuwekeza kwa Mtanzania mwenzetu yaani wa kabila la kwetu, ambaye alikuwa akimiliki kampuni ya Milcafe ambayo baadaye iliitwa Fiona Tanzania L.t.d, ya Bwana Benjamini Mengi na Mke wake Millie B. Mengi. mashamba haya yana Eneo la Ekari 993, na hata hivyo baada ya kuwekezewa bwana Benjamini Mengi, yeye pia alitafuta wa kumwekeza na ndipo alipowekeza kwa Waingereza ambapo mnamo tarehe 21mei 2004 kampuni ya Fiona Tanzania Ltd. iliingia mkataba na David Stewart Middleton, na katika Mkataba huo Mpya kati ya M/S Fiona T. LTD, na David Stewart Middleton, mashamba ambayo yalikuwa yamekodishwa na na kampuni ya M/S Fioana T. ltd, kutoka kwenye vyama vitatu vya ushirika , yaani Uswa/Mamba, Shari na Kyeeri, hawa wawili waliamua kuyaingiza katika kampuni yao mpya kwa jina la Silverdale Tanzania limited, wao wenyewe wakiwa ndiyo Wakurugenzi , Bw, David Middleton akiwa na Hisa asilimia 70 na Bw, Benjamini Mengi akiwa na asilimia 30, Kampuni hii mpya Silverdale T. Ltd, ilikuwa iendeshe shuguli zote ambazo M/S Fiona T . ltd, ilikuwa ikizifanya kwenye Mashamba ya Silverdale na Mbono, Mkataba huo ulitayarishwa kwa mapatano kwamba Bw, David Stewart Middleton angemlipa Bw, Benjamini Mengi kiasi cha USA $ 112,000 yaani fedha za Kitanzania kwa thamani ya leo Shs. 1,150 ni Shs. 128,800,000. INAENDELEAA. au bofya hapa. www.ambassadorofdemocracytanzania.blogspot.com

No comments:

Post a Comment