N.I.H.F -KIKOA

N.I.H.F -KIKOA
N.I.H.F -KIKOA

FOREPLAN CLINIC

FOREPLAN CLINIC
FOREPLAN CLINIC

Monday, November 21, 2016

DUKA LA COUTURE SASA KUWAVISHA NA KUWAPODOA WARIMBWENDE MISS LAKE ZONE

 Mtangazaji wa Kipindi cha Flora Shoo kinachoruka kwenye Runinga Mbali mbali akipozi na msimamizi wa duka la Nywele Maarufu kama COUTURE, Doreen Mmari, duka hilo lipo jengo la City Mall kati kati ya jiji la Dar es salaam.
Mtangazaji wa Kipindi cha Flora Shoo kinachoruka kwenye Runinga Mbali mbali akikabidhiwa moja ya Nywele za kisasa kutoka kwa msimamizi wa duka la Nywele Maarufu kama COUTURE,Doreen mmari duka hilo lipo katika jengo la City Mall kati kati ya jiji la Dar es salaam.
 
 Mtangazaji wa Kipindi cha Flora Shoo kinachoruka kwenye Runinga Mbali mbali muda mfupi baada ya kuvalishwa na duka la Nywele Maarufu kama COUTURE, lililopo katika jengo la City Mall kati kati ya jiji la Dar es salaam.
 

BORA YAJITANGAZA ZAIDI KWA KUWA NA UBORA KATIKA BIDHAA ZAKE.

 Msimamizi wa Maduka ya Bora, John Alfred Marenge,(kulia) akimkabidhi moja ya Zawadi Anti Flora ambaye ni Mtangazaji wa Kipindi cha Flora Shoo kinachotamba kwenye Runinga Mbali mbali nchini.
  Anti Flora
 
 
  Anti Flora katika Pozi
 Msimamizi wa Maduka ya Bora, John Alfred Marenge,(kulia) akimkabidhi moja ya Zawadi Anti Flora ambaye ni Mtangazaji wa Kipindi cha Flora Shoo kinachotamba kwenye Runinga Mbali mbali nchini.
 
 Anti Flora akiwa na msanii wa Muziki wa Ngoma za Asili, Siboka Mganga muda mfupi baada ya kununua Kiatu aina ya Safari Buti kwenye Maduka ya Bora yaliyopo jengo la City Mall  jijini Dar salaam.(Picha Zote kwa Hisani ya Miss Demokrasia Tanzania).
Mtangazaji wa Kipindi cha Flora Shoo kinachoruka katika Runinga mbali mbali hapa Nchini, Anti Flora akizungumza na Mmoja wa Wafanyakazi wa Maduka ya Bora jijini Dar es salaam.