Msimamizi
wa Maduka ya Bora, John Alfred Marenge,(kulia) akimkabidhi moja ya
Zawadi Anti Flora ambaye ni Mtangazaji wa Kipindi cha Flora Shoo
kinachotamba kwenye Runinga Mbali mbali nchini.
Anti Flora
Anti Flora katika Pozi
Msimamizi
wa Maduka ya Bora, John Alfred Marenge,(kulia) akimkabidhi moja ya
Zawadi Anti Flora ambaye ni Mtangazaji wa Kipindi cha Flora Shoo
kinachotamba kwenye Runinga Mbali mbali nchini.
Anti
Flora akiwa na msanii wa Muziki wa Ngoma za Asili, Siboka Mganga muda
mfupi baada ya kununua Kiatu aina ya Safari Buti kwenye Maduka ya Bora
yaliyopo jengo la City Mall jijini Dar salaam.(Picha Zote kwa Hisani ya
Miss Demokrasia Tanzania).
Mtangazaji
wa Kipindi cha Flora Shoo kinachoruka katika Runinga mbali mbali hapa
Nchini, Anti Flora akizungumza na Mmoja wa Wafanyakazi wa Maduka ya Bora
jijini Dar es salaam.
No comments:
Post a Comment