Mwakilishi Mkuu wa JICA kutoka Serikali ya Japani, Yukihide Katsuta(kulia) akimkabidhi nyaraka Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Bi, Blandina Nyoni, katika iliyofanyika Makao Makuu ya Wizara ya Afya, Dar es Salaam leo, Nyaraka hizo ni za Makubaliano ya kuboresha huduma za Afya katika Hospitali za Mikoa yote ya Tanzania Bara, ambapo Japani italeta wataalamu wao nchini na Mradi huo utadumu kwa kipindi cha miaka mitatu, kuanzia mwaka huu,
Mwakilishi Mkuu wa JICA kutoka Serikali ya Japani, Yukihide Katsuta(kulia) akisaini nyaraka na Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Bi, Blandina Nyoni, katika hafla iliyofanyika Makao Makuu ya Wizara ya Afya, Dar es Salaam leo,
Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Bi, Blandina Nyoni(wa pili mbele kulia) na Mwakilishi Mkuu wa JICA kutoka Serikali ya Japani, Yukihide Katsuta(wa pili kushoto mbele) wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wadau waliohudhulia katika hafla hiyo.
No comments:
Post a Comment