Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, John Ndunguru(kushoto), akifungua sherehe za makandarasi iliyofanyika kwenye viwanja vya mlimani city
Rais wa Jamhuri Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete(kulia), akiwa na Waziri wa Ujenzi John Pombe Maghufuli, kwenye Ufunguzi wa Mkutano wa Makandarasi Baada ya Miaka 50 ya Uhuru, iliyofanyika kwenye Viwanja vya Mlimani city
Waziri wa Ujenzi John Pombe Maghufuli, akisisitiza jambo wakati wa kufunga Mkutano wa makandarasi baada ya Miaka 50 ya Uhuru,
Wanamuziki wa Bendi ya JKT, wakitumbuiza kwenye hafla ya kufungwa Mkutano wa Makandarasi baada ya Miaka 50 ya Uhuru,
Baadhi ya Waandisi na Makandarasi, wakionyesha Vyeti vyao, baada ya kukabidhiwa kabla ya kufungwa kwa Mkutano huo, kushoto ni Sadiki Msangi na Ally Deffu
Waziri wa Ujenzi John Pombe Maghufuli, akiwasili kwa lengo la kufunga Mkutano wa makandarasi baada ya Miaka 50 ya Uhuru.
Baadhi ya wakandarasi wakiwa wametulia kusikiliza Hotuba ya Mgeni Rasmi,(Picha Zote na Shaaban Mpalule).
No comments:
Post a Comment