Maafisa wa Papazi wakiongozwa na Mkurugenzi wao, Hans Zakaria, wakipiga picha na Washindi hao baada ya kukabidhiwa zawadi zao
Washindi Wakionyesha Zawadi zao, kutoka kushoto Christine Mwegoha aliyepata dola 200, Zubeda Self aliyepata dola 1000, na Husna Maulid, Warembo hawa wa Vodacom Miss Tanzania pia watafanya kazi na Kampuni ya Papazi kwa upande wa Filamu.
Mrembo Zubeda Self, aliyejipatia zawadi ya Kitita cha Dola 1000, akimnanga Muigizaji Nguri wa Filamu, Jackline Wolpa, wakati wa kutafuta Miss Vodacom Kipaji cha Uigizaji wa Filamu na Kampuni ya PAPAZI
Vodacom Miss Tanzania Top Model, Mwajabu Juma(kushoto), akijibizana na Princess Mashonobo.
Husna Maulid, akionesha Makali yake katika kucheza Filamu na hapa akiigiza kuwa na Machungu
Mshindi wa Vodacom Miss Tanzania, Glori Lory akicheza kipande chake na Yusuf Mlela.
No comments:
Post a Comment