Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Ernest Mangu, akisalimiana na makamishna wa Jeshi la Polisi baada ya kuwasili kwa ajili ya kumpokea mgeni rasmi Naibu Waziri wa Mambo ya ndani kwenye ufunguzi wa mkutano Mkuu wa Maofisa wakuu waandamizi wa Jeshi la Polisi unaofanyika katika chuo cha taaluma ya Polisi Moshi. Picha na Hassan Mndeme-Jeshi la Polisi.
Naibu waziri wa Mambo ya Ndani Mh, Pereira Ame Silima akisalimiana na Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Ernest Mangu baada ya kuwasili katika Chuo cha Taaluma ya Polisi Moshi kwa ajili ya kufungua mkutano Mkuu wa Maofisa wakuu waandamizi wa Jeshi la Polisi unaofanyika katika chuo hicho. Picha na Hassan Mndeme-Jeshi la Polisi.
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Ernest Mangu akitoa hotuba jana katika ukumbi wa Chuo cha Taaluma ya Polisi Moshi kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi kufungua mkutano Mkuu wa Maofisa wakuu waandamizi wa Jeshi la Polisi unaofanyika katika chuo hicho. Picha na Hassan Mndeme-Jeshi la Polisi.
Maofisa wakuu waandamizi wa Jeshi la Polisi wakisikiliza hotuba ya mgeni rasmi Naibu Waziri wa Mambo ya ndani, Mhe. Pereira Ame Silima kwenye ufunguzi wa mkutano Mkuu wa Maofisa wakuu waandamizi wa Jeshi la Polisi unaofanyika katika chuo cha taaluma ya Polisi Moshi. Picha na Hassan Mndeme-Jeshi la Polisi.
Maofisa wakuu waandamizi wa Jeshi la Polisi wakisikiliza hotuba ya mgeni rasmi Naibu Waziri wa Mambo ya ndani, Mhe. Pereira Ame Silima kwenye ufunguzi wa mkutano Mkuu wa Maofisa wakuu waandamizi wa Jeshi la Polisi unaofanyika katika chuo cha taaluma ya Polisi Moshi. Picha na Hassan Mndeme-Jeshi la Polisi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Blog Archive
-
▼
2014
(75)
-
▼
February
(18)
- MAANDALIZI YA MAADHIMISHO YA MIAKA 37 YA CCM MKOA ...
- RADIOMBAO KUZINDULIWA UPYA
- PROMOTA WA NGUMI,JAY MSANGI APIGWA MARUFUKU NA SER...
- MATUKIO YA PICHA KATIKA UFUNGUZI WA MKUTANO MKUU W...
- TAARIFA YA JESHI LA POLISI MKOA WA MBEYA KWA VYOMB...
- KAMPENI YA VIRUTUBISHI CHAKULA
- MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA KAIMU KAMISHN...
- IGP MANGU KWENYE MKUTANO MKUU WA MAAFISA WAKUU WA ...
- UWT YAMPONGEZA RAIS KIKWETE KWA UTEUZI WA WAJUMBE ...
- TAARIFA YA CCM KUHUSU MAAMUZI YA VIKAO VYAKE MJINI...
- KATIBU MKUU WA WIZARA YA NISHATI NA MADINI APOKEA ...
- SEMINA YA WASANII WA BONGO MOVIE KUFANYIKA IJUMAA ...
- MKUU WA MKOA WA MOROGORO AKABIDHIWA DVD YA VIDEO Y...
- ENDABASHI WAFURAHIA UANZISHWAJI WA DAWATI LA JINSI...
- MAONYESHO YA KAZI ZA VIJANA WAJASIRIAMALI DODODMA...
- CCM KARATU YAWAFARIJI WAGONJWA
- MAREKANI YACHUKIZWA NA RAISI MUSEVENI KUSAINI MUSW...
- HALI YA USALAMA YAZIDI KUZOROTA JAMUHURI YA AFRIKA...
-
▼
February
(18)
No comments:
Post a Comment