CHAMA CHA WAGONJWA WA KISUKARI WAANDAA KAMBI YA UPIMAJI BILA MALIPO.
AIRTEL KUKABIDHI MSAADA KWA WAATHIRIKA WA MAFURIKO IRINGA.
Meneja
wa biashara wa kampuni ya simu za mkononi nchini Airtel kanda ya
nyanda za juu Bw Straton Mushi (kushoto) akimkabidhi jana kaimu
mkuu wa mkoa wa Iringa Bw Richard Kasesela msaada wa saruji mifuko
100 na mabati 200 vyenye thamani ya Tsh milioni 5 kwa ajili ya
kusaidia waathirika wa mafuriko Pawaga na Idodi wilaya ya Iringa.
Kaimu
mkuu wa mkoa wa Iringa Bw Richard Kasesela (kulia ) akipokea msaada
wa bati 200 pamoja na saruji 100 vyote vikiwa na thamani ya Tsh
milioni 5 kutoka kwa meneja wa biashara wa Airtel kanda ya nyanda za
juu Bw Straton Mushi jana msaaada uliotolewa kwa ajili ya
waathirika wa mafuriko Pawaga na Idodi wilaya ya Iringa.
No comments:
Post a Comment