Wafanyakazi
wa Duka la Azam wakionyesha baadhi ya Jezi za Timu ya Azam
zinazopatikana katika Duka Maalum lililofungulia ndani yaboti ya
Kilimanjaro 6 leo.
Mtendaji Mkuu wa Azam FC, Saad Kawemba akizungumza Michuz TV wakati wa uzinduzi
wa duka la vifaa vya vya michezo pamoja na vitu mbalimbali vya Azam
duka hilo limezinduliwa ndani ya boti ya Kilimanjaro 6 leo.
Wafanyakazi
wa Duka la Azam wakionyesha baadhi ya skafu na vitamaa vya Timu ya
Azam zinazopatikana katika Duka Maalum lililozinduliwa ndani ya boti ya
Kilimanjaro 6 leo
No comments:
Post a Comment