Usiku
wa kuamkia leo, wafanyakazi wa Uhuru FM, Redio ya wananchi waliamua
kujiachia kivyao vyao katika Bonge la tafrija la kuuaga mwaka 2013 na
kuukaribisha mwaka mpya. Tafrija hiyo iliyoongozwa na Kaimu Mkurugenzi
wao Angela Akilimali ilifana na kupongezwa na kila mfanyakazi kwa jambo
hilo jema la kuwakutanisha wafanykazi na kufurahi pamoja. Pichani ni
wafanyakazi hao wakigonga chiaaaaaaz!!
burudani ilitawala tafrija hiyo…
Kila mmoja aliinuka na kucheza
Kaimu Mkurugenzi Maama Angela Akilimali nae hakutaka kubaki kitini aliongoza safu ya kusakata kwaito.
Wengine wali show love namna hiii
Dj Fast Edie nae alishow love na boss bila wasi wasi.
Burudani iliendelea….
Kaimu Mkurugenzi alifungua mvinyo wa kutakiana heri.
Alougawa kwa kila mfanyakazi
Msosi ulifika wakati wake na kila mtu alijongea kunako meza na kujipatia kile roho inapenda.
Burudani ilikuwa mwanzo mwisho…
Wazee wao waliwatazama vijana wakiburudika
Ilikuwa Balalaaaaaa….
Limonga Jastin Limonga (kulia) aliwaongoza vijana kucheza Msondo
Picha ya pamoja ya waalikwa wote ilipigwa.
No comments:
Post a Comment