Kikao
cha semina ya wajumbe wa Bunge maalum la Katiba kilichokuwa kiendelee
leo saa nne asubuhi baada ya Mwenyekiti wake wa Muda Mhe. Pandu Amir
Kificho Kuaarisha jana mchana sasa kitaendelea leo tarehe 8 machi 2014
saa tisa alasiri. Hii ni kutokana a kamati ya maridhiano inayopitia
vifungu ilivyokuwa inafanyia kazi kuomba mda zaidi.Hivyo wajumbe wote wa
Bunge maalum wanaombwa kufika Bungeni kuendelea na semina hiyo saa tisa
alasiri badala ya saa nnne asubuhi.
Imetolewa na Katibu wa Baraza la wawakiliashi na Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
No comments:
Post a Comment