Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Meya wa Mji wa Vallejo nchini
Marekani Mstahiki Osby Davis alipomtembelea Ikulu jijini Dar es salaam
Alhamisi Februari 27, 2014. Meya Davis yuko nchini na ujumbe wa
wafanyabiashara 15 kutoka Vallejo wakiwa katika ziara ya kutafuta fursa
za uwekezaji na ushirikiano. Mji wa Vallejo ni mji dada na wa Bagamoyo
katika mkoa wa Pwani.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akipokea zawadi ya sanamu ndogo ya mji wa Vallejo
toka kwa Meya wa Mji wa Vallejo nchini Marekani Mstahiki Osby Davis
alipomtembelea Ikulu jijini Dar es salaam Alhamisi Februari 27, 2014.
Meya Davis yuko nchini na ujumbe wa wafanyabiashara 15 kutoka Vallejo
wakiwa katika ziara ya kutafuta fursa za uwekezaji na ushirikiano. Mji
wa Vallejo ni mji dada na wa Bagamoyo katika mkoa wa Pwani.Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha na Meya wa Mji wa Vallejo
nchini Marekani Mstahiki Osby Davis na ujumbe wake walipomtembelea
Ikulu jijini Dar es salaam Alhamisi Februari 27, 2014. Meya Davis yuko
nchini na ujumbe wa wafanyabiashara 15 kutoka Vallejo wakiwa katika
ziara ya kutafuta fursa za uwekezaji na ushirikiano. Mji wa Vallejo ni
mji dada na wa Bagamoyo katika mkoa wa Pwani.
PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment