Tanzania
yashiriki mkutano wa 3 wa kamati ya kusimamia mradi wa kupashana habari
ili kupambana na uhalifu baharini, 3rd Maritime Security & Safety
Information Sharing for Capacity building (MARSIC ) unaofanyika kwa
kuratibiwa na Umoja wa Ulaya , Brussels, Ubelgji 3-4 Machi, 2014.
Tanzania ni moja ya nchi zenye vituo hivyo vya kupashana habari (Informations Sharing Centres) kilichopo katika Mnara wa kupngoza Meli cha Feri (Control Tower) kinaendeshwa na TPA kwa kushirikiana na Sumatra na idara nyingine za ulinzi na Usalama za Serikali kiutekelezaji.
Vituo vingine vya mradi huo viko Djibouti, Mombasa – Kenya na Sanaa -Yemen katika ukanda wa bahari ya Hindi.
Mwakilishi wa Tanzana katika mkutano huo Ndg. Phares Magesa ambaye ni Mkurugenzi wa ICT- TPA akiwa mkutanoni katika ukumbi wa Umoja wa Ulaya, Brussels.

Baadhi ya wajumbe kutoka nchi mbali mbali wakiwa mkutanoni
No comments:
Post a Comment