N.I.H.F -KIKOA

N.I.H.F -KIKOA
N.I.H.F -KIKOA

FOREPLAN CLINIC

FOREPLAN CLINIC
FOREPLAN CLINIC

Tuesday, March 11, 2014

Wakazi wa Morogoro mjini wapatiwa elimu ya lishe


??????????????????????????????? ???????????????????????????????Mkuu wa Wilaya  ya Morogoro Mjini,Bw Anthony Mataka(Kushoto)akiwa na wataalamu wa lishe toka USAID Tuboreshe chakula akishiriki kwa vitendo katika kuandaa uji wa mtoto,miezi 6 – miaka 5 kuchanganya virutubishi ,tayari kwa kumnywesha mtoto,katika kampeni  za uhamasishaji na uelimishaji wa virutubishi,katika viwanja vya Shule ya msingi Mafisa A mkoani Morogoro.Kampeni hizi zimedhaminiwa na shirika la misaada la marekani USAID Tuboreshe chakula
???????????????????????????????Mkuu wa wilaya Morogoro Bw Anthony Mataka(kushoto) akiteta na Dr .W.Lorri,(Kulia)Mshauri wa Rais mambo ya lishe.Katika siku ya sherehe za uhamasishaji wa virutubishi kwa watoto umri wa miezi 6-miaka 5 Mkoani Morogoro. Kampeni hii iko chini ya mradi wa Tuboreshe Chakula unaofadhiliwa na Shirika la Misaada la Watu wa Marekani USA

No comments:

Post a Comment

Blog Archive