Mkurugenzi wa Babloom Band, Seif Kisauji(kushoto) na Mwimbaji wa band hiyo Getrud Zongo, wakati wakitumbuiza katika Hotel ya Kimataifa ya Paradise City Hotel, ndani ya SAVANNAH LOUNGE, mwishoni mwa juma, pia bendi hii inapatikana katika ukumbi huo kila jumatatu, jumanne na jumatano.
Mkurugenzi wa Babloom Band, Seif Kisauji(kushoto) na Mwimbaji wa band hiyo Getrud Zongo
Mkurugenzi wa Babloom Band, Seif Kisauji(kushoto) na Mwimbaji wa band hiyo Getrud Zongo
Mpiga keyboard wa Babloom Band, Emmanuel Hakimu, hakiungurumisha Kinanda katika onyesho lililofanyika kwenye Hotel ya Paradise City Hotel iliyopo jengo la Benjamini Mkapa-Posta.
Mkurugenzi wa Babloom Band, Seif Kisauji(kulia) na Mpiga Gitaa la Solo, Benny Benny
No comments:
Post a Comment