Baadhi ya wanafunzi waliofika katika banda la kampuni ya simu za mkononi ya Tigo wakipata huduma mbalimbali katika maonyesho ya wakulima ya Nane Nane mjini Dodoma. Kampuni hiyo imetoa punguzo kwa bidhaa zake zote katika muda wa maonyesho hayo.

Burudani
TIGO na Huduma kwa Wateja
No comments:
Post a Comment