Mtaalam wa viwango kutoka Tigo Pamela Shellukindo (kushoto) akimkabidhi Nassoro Muharam (Kulia) mfano wa hundi ya Tsh. Milioni tano mshindi wa promosheni ya Jipange Kimaisha inayoendeshwa na kampuni ya simu za mkononi ya Tigo jijini Dar es Salaam jana. Katikati ni Afisa wa Tigo Tawonga Mpore.
No comments:
Post a Comment