N.I.H.F -KIKOA

N.I.H.F -KIKOA
N.I.H.F -KIKOA

FOREPLAN CLINIC

FOREPLAN CLINIC
FOREPLAN CLINIC

Wednesday, January 7, 2015

Jerry Okungu anawashauri Watanzania kutoangukia katika mtego wa vurugu za uchaguzi kama zilizoikumba Kenya:

TANZANIA MUST AVOID FALLING INTO KENYA’S TRAP OF ELECTION VIOLENCE

 

By Jerry Okungu
Nairobi, Kenya

Three different newspapers published in Dar es Salaam cannot be wrong especially if one of them, the oldest, belongs to the CCM. They are all saying more-or-less the same thing; that there is uncertainty and anxiety in the air. They are all expressing fear that Bongoland’s elections may be rigged in favor of the ruling party based on the mood in the country that seems to be craving for regime change in the land of Mwalimu Julius Nyerere.
Signs that all is not well are clearly brought out in the latest opinion results conducted by Research and Education in Democracy in Tanzania(REDET), a state owned research center housed at the University of Dar es Salaam, Synovate of Kenya and several online surveys conducted by Daily News, Uhuru Publications and ThisDay newspaper published by Reginald Mengi’s outfit.
In the run-up to the Kenyan elections in 2007, we had a similar scenario where opinion polls became the centre of vicious debates, claims and counter claims of doctored results depending on who or which party was favored or dismissed by the polls. Whenever an opinion poll favored PNU, other parties and their supporters dismissed it as cooked. On the other hand, if another pollster published results that favored ODM, other players routinely dismissed it as bogus.
On the other hand, the Kenyan public were routinely treated to a measure of the popularity of presidential candidates and their parties through the sizes of their rallies that at times were beamed live on local television stations. Therefore if the polls did not reflect what the masses saw on TV, they always disputed such results.
Claims of preplanned rigging of results as already alluded to by Wilbroad Slaa were typical in Kenya just months before the elections. Plans to use the police and the provincial administration to be election monitors for PNU the ruling party were equally on the cards. It was these strange developments, coupled with public pronouncements that PNU would not concede defeat that led ODM to announce very early that the party would only accept defeat if the elections were free and fair. On the other hand, if the results were rigged, the party would mobilize its huge following countrywide for mass action to protest the results.
Looking at the Tanzanian election campaigns this year, there are signs that the country is reading from Kenya’s script. If already, a CCM high ranking official has declared that Wilbroad Slaa will not be the fifth Tanzanian president, it must be because there is something he knows about the election outcome that other Tanzanians are not privy to.
On the other hand, the intervention of the military chiefs to warn Tanzanians against causing chaos must have sent chills down the spines of many people in that country. Ordinarily, the military in Tanzania just like in Kenya are supposed to be apolitical in such circumstances. To meddle in the political arena at such sensitive moments can only remind us of the Zimbabwe scenario where prior to the elections, the military came out to announce that they would not mount a military guard for anybody other than Robert Mugabe.
In East Africa, Tanzania has had the best history of political stability despite its population being highly politicized. For this reason, it has earned the respect of many international organizations because of its peaceful political transitions. In fact it is only in Tanzania where we would have had four retired former heads of State had Mwalimu Nyerere not passed on suddenly in 1979.
Regime change like we have had in Kenya and Ghana in the recent past is not something easy to achieve in Africa especially if a whole ruling political party has to be thrown out of power. In Tanzania’s case, the task is even more daunting because CCM is the party that ushered in independence 49 years ago and many Tanzanians born after independence now nearing their 50s have grown up knowing only the ruling CCM.
In 2000, Ghanaians resolved that Jerry Rawlings’ party had to leave power after two decades. They gave power to John Kufuor’s opposition party. Eight years later, Ghanaians made another about turn and returned power to Jerry Rawlings’ party by electing Atta Mills in 2008 as Ghana’s new president. Such regime change can only take place once multiparty politics, democratic governance and political maturity has taken root in society.
In Kenya, the only time we effected regime change was in 2002 when the nation overwhelmingly voted KANU out of power after ruling the country for 40 years. Had the opposition parties not resolved to work together, perhaps this feat would not have been realized.
As we wait to see the outcome of Tanzania’s results on October 31, a few facts must be driven home for our brothers and sisters. They must be reminded that Tanzania is bigger than Jakaya Kikwete or Wilbroad Slaa. If it is the will of the people of Tanzania to return Kikwete to power through majority vote, so be it. However, if the same Tanzanians decide that the moment for regime change is now; their decision must be respected by those in power including the armed forces.
As an East African, I need a peaceful and prosperous Tanzania; not a chaotic one.
Okungu is the CEO of Kenya-Today in Nairobi

UCHAGUZI TANZANIA BILA VURUGU INAWEZEKANA, BILA PANYA ROAD INAWEZEKANA ZAIDI. TUITUNZE AMANI TULIYONAYO.

UCHAGUZI 2015  TANZANIA   imekuwa na jukwaa kubwa linalotumia tovuti mbali mbali ukilinganisha na miaka ya nyuma katika chaguzi.
USHAHIDI  unaonyesha kwamba kuna Idadi kubwa ya Kampeni zinazofanywa kupitia  zana za kiteknolojia za simu za mkononi, Mitandao ya Kijamii  na hivyo kuwezesha ushirikiano ambao haukuwahi kuwepo kati ya waangalizi wa uchaguzi na raia katika kuendesha na kunadi sera mbali mbali za Wagombea .
kusimamia uchaguzi katika muda unaokaribiana na wakati halisi ni jukumu la Tume ya Taifa ya Uchaguzi.   uchaguzi wa Tanzania unatarajiwa kufanyika Mwishoni mwa Mwaka huu , na litakuwa jambo la kufurahisha kuona jinsi zana hii inayowika itakavyochagiza upatikanaji taarifa katika tukio hili la Kipekee.

uchaguzi wa Tanzania na jumuiya inayokua ya teknolojia:

Hivi sasa kuna nyenzo ya kiteknolojia ya Ushahidi ili kuripoti matukio ya vurugu, fujo na mapigano katika tayari kwa ajili ya uchaguzi Unaotarajiwa kufanyika mwaka huu.

 Unaweza pia kutuma maombi ya kuwa mfasiri wa kujitolea na mthibitishaji kupitia Fomu hii ya BALOZI WA DEMOKRASIA TANZANIA. wakati tunaelekea kwenye Uchaguzi mkuu, moja ya kura za maoni zungumzia nafasi nzuri kushinda kwa chama ama Kiongozi.

Bila kuwepo na upendeleaji wa chama chochote katika uchaguzi lakini ni matumaini yetu kwamba uchaguzi utaendeshwa kwa amani na Utulivu. 

Ni matumaini yetu pia kwamba rafiki wa nchi ya Tanzania ni wewe, Watanzania na wengine kama mataifa ya Wamarekani na Dunia nzima kwa ujumla, wote watakuwa salama kuhakikisha Tanzania inazidisha Amani na Utulivu. 

  UCHAGUZI ni msukumo wa pamoja kati ya TACCEO, Tanzania; HIVOS, Uholanzi; Haki Elimu, Tanzania; Jumuiya kubwa zaidi ya TEKNOHAMA nchini Tanzania – Jamii Forums, Tanzania; TWAWEZA ya Rakesh Rajani, CRECO ya Kenya kwa kushirikiana na USHAHIDI na SODNET za Kenya zote kama washirika wa kimkakati katika teknolojia.

Tanzania Election

On October 31, Tanzanian people will go to the polls and place their votes. With national elections just around the corner, the candidates and their supporters are busy campaigning and explaining their platforms to the voters.

It is an exciting time for our country, as we are embracing democracy. There are more political parties, like the AFP and TADEA. The media has been advertising the importance of voting and educating people about how to cast their votes. Candidates also have had equal access to the media in their campaigns, and every candidate has had the opportunity to publicly introduce themselves and their ideas to the people. Perhaps the best news is that, unlike in elections past, there has been no political violence and people have been campaigning in peace.

In past election years, there was political violence in Zanzibar as people prepared for the elections, but not this time. All of the campaigning has been peaceful and secure.
These are good signs for our country, because it shows that our people are embracing democracy and becoming involved in the political process.

Campaigning officially ends on October 30. On October 31, the Tanzanian people will choose their new leader. We all hope that it is someone who is fairly elected and who will bring development to our country. Above all, we all hope that our elections are as peaceful as the campaigns have been.
God bless Tanzania and its islands.




kwamba kutokuwepo kwa vurugu katika kampeni za uchaguzi mwaka 2010 Tanzania Bara na Zanzibar ni ushahidi kwamba watu wameanza kuipokea na kuielewa demokrasia:

Nyakati za uchaguzi katika miaka iliyopita, kulikuwa na vurugu za kisiasa huko Zanzibar wakati watu walipokuwa wanajiandaa na uchaguzi, lakini si hivyo safari hii. Kampeni yote imekuwa ya amani na usalama. Hizi ni dalili njema kwa nchi yetu, kwa sababu inaonyesha kwamba watu sasa wameanza kuipokea DEMOKRASIA na kwamba wameanza kujishirikisha katika mchakato wa kisiasa.
Kampeni zitakoma rasmi tarehe 30 Oktoba 2010. ambapo Oktoba 31, Watanzania walipiga kura kumchagua kiongozi wao aliyepo Madarakani mpaka walati huu wa Mwaka wake wa Mwisho. Sisi sote tuna matumaini kwamba ametuongoza vyema ukiondoa habari za Ushabiki wa Kisiasa,  kiongozi aliyechaguliwa kwa haki na aliyeiletea nchi yetu maendeleo makubwa katika nyanja mbali mbali. Zaidi ya yote ni Amani inapokuwa inatawala inazidi Raslimali yoyote katika nchi yenye Machafuko, hivyo sote tuna matumaini makubwa kwamba uchaguzi huu wa 2015 utakuwa wenye utulivu kama zilizovyokuwa katika uchaguzi uliopita na hata wakati wa kampeni.
Mungu aibariki Tanzania na Visiwa vyake.

Government threatens press in pre-election Tanzania


Incumbent Tanzanian President Jakaya Kiketwe during rally in September. (AP)
Incumbent Tanzanian President Jakaya Kiketwe during rally in September. (AP)
As the October 31 national elections draw near, Tanzania's media is in a frenzy trying to cover the close race between the two leading presidential candidates. But government threats and draconian media laws may be getting in the way of objective coverage.
All eyes are on the contest between incumbent President Jakaya Kikwete of the ruling Chama cha Mapinduzi (CCM), or "Party for Change," and a surprisingly successful challenger, Dr. Wilbroad Slaa from the Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), or "Progressive Democratic Party."
Kikwete, who won the 2005 elections with a landslide 80 percent of the vote, has seen his popularity plunge this month to 38 percent, according to Tanzanian polls. "Slaa has emerged as an unexpected presidential candidate and his message of change is resonating with voters anxious for a new direction," political commentator Azaveli Lwaitama told Reuters. Whether the Tanzanian press feel at liberty to cover this tight race is another matter. Critical reporting on the government during this sensitive time appeared risky after Ministry of Information Permanent Secretary Sethi Kamuhanda toured print media offices earlier this month, threatening to shutter any media house that "put the government in a bad light," state television reported. More than 50 human rights and media organizations issued a joint statement last week, claiming the government has threatened the press in advance of the forthcoming elections. Since polling began, the Registrar of Newspapers, a government-run licensing agency, has been busy issuing letters to newspapers, warning against any negative coverage of the government, local journalists told CPJ. Three private weeklies, Mwanahalisi, Raia Mwena, and Tanzania Daima have all been warned by the Registrar to avoid coverage deemed "inciteful" by the government or face suspension. "Such kinds of threats have been common from the Registrar of Newspapers, whom the minister [of information] uses as a means to enforce self-censorship," the chairman of the Tanzania Editors' Forum, Absalom Kibanda, told me. The country's leading Kiswahili daily, Mwananchi, received two letters from the Registrar recently threatening to suspend the paper for negative government coverage, Managing Editor Theophil Makunga told me. "For quite a long time now and during this election campaign period, in particular, your newspaper has been writing negative stories about the government," one of the Registrar's letters claimed. "Should you continue publishing the articles, the government will not hesitate to suspend or deregister your newspaper as per the laws of the land." The letter was signed by the Registrar's deputy director, Raphael Hokororo. Mwananchi is considered the most balanced and professional newspaper in the country and commands the highest readership, which makes this threat particularly troubling, the former Tanzania Editors' Forum chairperson, Sakina Datoo, told me. The Registrar's letters to Mwananchi alleged that the paper had denigrated the government but provided no examples of material the authorities deemed offensive, Makunga said. "The Registrar has no argument at all," he told me. "That's why they use sweeping, generalized statements in their allegations." Since the presidential campaigns started on August 20, Makunga said, his paper has not received a single complaint from any of the political parties participating in the race. Makunga fears the ruling party may shut down his paper using the vague allegations put forth in the Registrar's letter. "It's a sign of desperation on the side of the CCM. They believe if Mwananchi continues to report objectively, CCM candidates will lose votes," he said. The paper has filed a complaint with the independent press ombudsman, the Media Council of Tanzania. But Hokororo, the Registrar's deputy director, told me that the Mwananchi staff has exaggerated the issue. "The letter was supposed to be a private letter but they published it to get media attention. It was a warning, not a threat as they have portrayed it," he said. Recent warnings aside, the Tanzanian government has reams of anti-press legislation it can dangle above the media's heads to ensure self-censorship. The Newspaper Act of 1976, for instance, allows the information minister wide discretionary powers to ban newspapers. "It gives the minister powers to close down any newspaper for 'inciting'. Since the term is not defined, it's up to the minister to interpret it as he or she wants," Datoo said. Investigative reporting on any area the government considers classified is a punishable offense under the National Security Act. Later laws, such as the Civil Service Act and Public Leadership Code of Ethics Act, block access to information for journalists. The media laws in Tanzania "force all media to practice public relations and avoid investigative journalism," media analyst and Saut FM Producer Dotto Bulendu told me. Saut FM, a private station attached to St. Augustine's University, has faced its own challenges trying to cover the elections. Bulendu told me that he and Edwin Soko, a Saut FM reporter, received anonymous threats last month via text message accusing them of negative reporting on the ruling party. "The messages threatened to kill us if we continued to work at the station," he added. But the threats were somewhat misplaced; the Tanzanian Communications Regulatory Authority (TCRA) had already taken the station off the air in August. The Authority's public relations manager, Innocent Mungy, told me Saut FM had been closed on purely technical grounds because the radio signals interfered with aircraft communications. Bulendu is skeptical of the TCRA's findings. The station, he noted, has operated since 1997. "Why would we have signal interference problems now and not before?" he demanded. "Why just before the elections?" And he has little recourse: the 1993 Broadcasting Act empowers the TCRA to shut down any station at any time, he added. He hopes Saut FM will be back on the air this week, just days before the poll results. Over the years, press freedom monitors, including CPJ, have not identified many cases of Tanzanian authorities attacking the press, which makes the country appear to have a better media freedom record than many East African nations. But what happens in Tanzania is something more insidious: Thanks to the country's sweeping anti-press laws, the threat of closure by authorities is enough to curtail any wayward critics. For a ruling party facing a tight presidential race, that's a formidable advantage.

TUJIKUMBUSHE KUHUSU MAJUKUISHO YA HABARI ZA UCHAGUZI MKUU WA 2010 NA TUJIPIME KWA HUU UCHAGUZI WA 2015

Mnamo tarehe 31 Oktoba 2010, Watanzania walishiriki katika uchaguzi wa Rais wa Muungano, Rais wa Zanzibar pamoja na Wabunge na Wawakilishi katika Baraza la Wawakilishi Zanzibar. Huu  ni mjumuisho wa yale yaliyojiri katika blogu mbalimbali kuhusiana na uchaguzi huo. 

Hata kama vyombo vya habari vya Tanzania vinahisi kwamba viko huru kuripoti kuhusu mkabiliano mkali uliopo kwenye mbio za uchaguzi, hili ni jambo lingine. Kuchapisha habari zinazoikosoa serikali katika kipindi hiki nyeti ilionekana kuwa jambo lenye hatari kubwa hasa baada ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Sethi Kamuhanda, kutembelea ofisi za vyombo mbalimbali vya habari, ambapo alitishia kuvifunga vyombo vya habari “vinavyochapisha habari zinazoifanya serikali ionekane katika mwanga mbaya,” televisheni ya taifa iliripoti. Zaidi ya asasi 50 za haki za binadamu na vyombo vya habari vilitoa tamko la pamoja, vikidai kwamba serikali imevitishia vyombo vya habari mapema kabla ya uchaguzi huo.
Tangu kampeni zilipoanza, Msajili wa Magazeti, shirika linalomilikiwa na serikali ambalo linasimamia utoaji leseni, lilikuwa likiandika barua na kuzituma kwenye magazeti mbalimbali, na kuyaonya dhidi ya kuandika habari yoyote inayoonekana kuikosoa serikali, waandishi nchini humu waliiambia CPJ. Magazeti matatu ya kila wiki ya Mwanahalisi, Raia Mwema na Tanzania Daima, tayari yaliweza kupokea barua za onyo kwamba hayana budi kukwepa kuandika habari zozote ambazo serikali itaziona kuwa ni za “uchozezi” vinginevyo yangeweza kusimamishwa.
“Aina hii ya vitisho imekuwa jambo la kawaida kusikia kutoka kwa Msajili wa Magazeti, ambaye waziri wa habari humtumia kama chombo cha kuhakikisha waandanishi wanachuja na kujizuia kuandika habari fulani wao wenyewe,” mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania, Absalom Kibanda,wakati huo alijikuta akiingia kwenye Hatari kubwa ikiwa ni pamoja na kumwagiwa Tindi kali pamoja na wahariri wengine kama Said Kubenea.
Gazeti la Kiswahili linaloongoza kwa kuwa na wasomaji wengi, Mwananchi, pia lilipokea barua mbili kutoka kwa Msajili huyo zilizotishia kulifunga kwa kuwa liliripoti habari ambazo ziliikosoa serikali, Mhariri Mtendaji, Theophil Makunga, alithibitisha.
Inaendelea.... 

LHRC: WATANZANIA WOTE WANA HAKI YA KUJADILI KATIBA,WASIZUIWE!

Kituo cha sheria na haki za binadamu (LHRC) chenye makao yake jijini Dar Es Salaam,kimewataka wajumbe wa bunge maalum la katiba kuacha tabia ya kuwafumba midomo wananchi wanaotoa maoni yao kuhusiana na mchakato mzima wa kuandika katiba mpya nchini Tanzania.BISIMBA
Akiyasema hayo leo asubuhi akiongea na waandishi wa habari,Mkurugenzi Mtendaji,Dr.Helen Kijo-Bisimba alisema,”Bunge linaposema wananchi waache kutoa maoni yao kuhusu katiba mpya ni kwenda kinyume na katiba ya nchi yetu,ibara ya 18 na 21 kifungu cha pili”. Alisisitiza kuwa kwenye katiba ya Tanzania, ni haki ya kila raia kutoa ama kupokea taarifa na ni wajibu wake pia kuzitumia taarifa hizo kwa maendeleo ya taifa.
Mkurugenzi-Mtendaji-Ananilea-Nkya
Kwa upande wa Bw.H.Sungusia na Bi.Ananilea Nkya waliongezea kwa kushauri kuwa bunge hili lisimamishwe na lisiendee kwani limekosa uhalali wa kisheria,kisiasa na kuna wasiwasi wa kupoteza pesa nyingi kwenye kitu ambacho kinajulikana wazi kitakataliwa na wananchi.
“Wananchi tusimamie ukweli, tupaze sauti zetu na twende juu ya vyama vyetu,juu ya familia zetu na tuweke maslahi ya nchi mbele”,alisema Bi.Ananilea. Aliyasema hayo akisisitiza kuhusu usimamishwaji wa bunge maalum la katiba na kuwasihi wajumbe hao wajali watanzania kuliko kujali “matumbo yao”. Aliongezea kwa kusema,”anayezorotesha mchakato huu hafai kuwa hata mjumbe wa nyumba kumi,kwani Rais na Jaji Warioba wameshamaliza kazi zao”
Sungusia   Kwa upande wa kuomba msaada kutoka mahakamani ili kusitisha bunge hilo,mwanasheria Bw.Sungusia alisema ni jambo linalohitaji umakini zaidi kwani ni kama wapo mtegoni. “Ndugu waandishi,kuna kesi nyingi sana zipo mahakamani tangu 2008 lakini hakuna uamuzi uliochukuliwa,tunasita kupeleka suala hili mahakamani kwani hatujui uamuzi wake utatolewa lini na litakuwa na faida na hasara kwa kiasi gani”.
Mkutano huu wa waandishi wa habari uliitishwa na LHRC pamoja wadau wake wa karibu ikiwemo asasi ya vijana ya Tanzania Youth Vision Association (TYVA) iliyowakilishwa na Bw.Naamala Samson ambaye ni mratibu wa mradi wa FURSIKA NA AJIRA.
Unaweza kupakua tamko zima hapa: TAMKO KWA VYOMBO VYA HABARI- MWENENDO MCHAKATO WA KATIBA 7-8-2014
By ijuekatiba

LHRC YATOA MACHAPISHO KUHUSU KATIBA KWA TYVA

LHRC Logo
Katika kutambua mchango wa asasi ya Tanzania Youth Vision Association(TYVA) kuwafikia vijana na kuwaelimisha kuhusu kuifahamu katiba, rasimu za katiba na kuwawezesha kutoa maoni yao kuhusu haki wazitakazo, Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu(LHRC) kimetoa machapisho kwenye maboksi zaidi ya 31.
Machapisho kutoka LHRC
TYVA inaendesha mradi wa IJUEKATIBA unaolenga kuelimisha vijana kuhusu umuhimu wao kwenye kufuatilia mchakato mzima wa katiba. Mradi huu ulioanza tangu mwaka 2011 umeshafikia vijana milioni tano walio kwenye mikoa zaidi ya 18 Bara pamoja na Zanzibar, na inatarajiwa utawafikia walio kwenye mikoa zaidi mijini na vijijini, mashuleni na mitaani kwa njia mbalimbali za midahalo,mafunzo na vyombo vya habari.
Machapisho ya katiba
Randama za Katiba
Shukrani za dhati ziufikie utawala mzima wa Kituo cha Sheria na Haki Za Binadamu kuunga mkono zinazofanywa na TYVA.
By ijuekatiba

MDAHALO WA KATIBA KUFANYIKA LEO JIJINI DAR ES SALAAM

Muungano wa Asasi za Kiraia Tanzania umeandaa Mdahalo wa wazi kuhusu Changamoto za Mchakato wa Katiba mpya. Mdahalo huo utafanyika tarehe 31 /5/2014 katika Ukumbi wa Blue Pearl Hotel, Ubungo Plaza, jijini Dar es Salaam kuanzia saa 8.00 mchana hadi saa 10.00 Jioni. Mdahalo huo utatangazwa moja kwa moja na vituo vya ITV, ABM Radio ya Dodoma, pamoja na Chuchu FM na Istiqama Radio za Zanzibar. Vyombo vingine vya habari vitakavyopenda kuutangaza Mdahalo huu kwa maslahi ya umma pia vinakaribishwa.
Watoa Mada ni waliokuwa wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba: Prof. Mwesiga Baregu na Bw. Awadhi Ally Saidi.
Wananchi wote mnakaribishwa kushiriki katika mdahalo huu ili kuhakikisha kuwa Tanzania inapata katiba mpya inayokidhi maslahi ya watanzania.
Wote Mnakaribishwa na HAKUNA KIINGILIO !!!
By ijuekatiba

RAIS KIKWETE AWAASA WAJUMBE KUANDIKA KATIBA BORA!

RAIS Jakaya Kikwete, amelihutubia Bunge Maalum la Katiba na kuwapongeza Wabunge wa Bunge hilo na kusisitiza kuwa Mchakato wa kupata Katiba Mpya, unahitaji umakini wa ziada ili Watanzania Wapate Katiba inayotekelezeka isiyo na Masharti Magumu.



Aidha amewatahadharisha Wajumbe hao kuwa Makini katika Mchakato wa kupata Katiba Mpya , ili isije ikakataliwa na Wananchi, kwani hatua ya maamuzi katika suala hilo imeanzia kwenye Bunge hilo na mwisho kwenda kwa Wananchi kupigiwa kura ya kukubalika na hivyo wajiridhishe na Uandishi uliopo kwenye Rasimu hiyo.

“Kile mtakachoona kinafaa kurekebishwa au kufutwa msisite kikuondoa! Tunachotaka ni ili Watanzania wapate Katiba iliyo nzuri ila tunaweza kupata wakati mgumu kuitekeleza msipozingatia mambo muhimu, Bunge hili linawajibu wa kuzuia jambo hilo ili lisitokee katika Nchi yetu”

Alisema kwasababu Rasimu hiyo ina mambo mengi Wajumbe hao wafanye Uchambuzi kuhusu kufaa kwake na manufaa yake, ili isije kuwaumiza Wananchi, huku akitolea mfano wa kipengele kinacho mwekea Mbunge kizuizi cha Miezi (sita) kuingia Bungeni au kushiriki shughuli za Kibunge endapo atakuwa gerezani au kuugua kwa kipindi hicho, jambo ambalo amependekeza kuwa kipengele hicho wakijadili kwa kina kwani kinaumiza watakao wekewa vizuizi kutokana na kuwa magonjwa hayaepukiki kwa maisha ya Mwanadamu.

Ukomo wa Wabunge

Aidha amesema kuhusu suala la Kikomo kwa Wabunge kuongoza kwa mda wa Miaka Mitatu, yeye binafsi katika kifungu hicho, ambacho kipo kwenye Rasimu ya pili ya Katiba ameona kina utata kwa vile haijaelezwa kama ni awamu mbili mfululizo au la! Hakuna Nchi Duniani iliyoweka ukomo wa Wabunge na hivyo kupendekeza Ukomo huo uwe kwa Viongozi wa Wakuu wa Serikali.

Muundo wa Muungano

Alisema pendekezo hilo, limesababisha kujaa kwa mijadala mirefu kuanzia kwenye Rasimu ya Kwanza na ya pili, na kuleta hisia kwa pande zote mbili katika upande wa Muungano ulipo hivi sasa, na kuwaomba Wajumbe hao kuwa wawe watulivu ili wanapolijadili, wasiwe na ‘Jazba’ kwani wakitumia nguvu Zaidi hawatafika popote.

“Waasisi wa Tifa letu Mwalimu Nyerere na Sheikh Karume waliamua kuchagua Mfumo wa Serikali mbili ili Tanganyika kuepuka gharama kwa Tanzania Bara kugharamia serikali ya bara na ya Muungano, nafikiri tuzingatie mawazo ya Wazee hao” alisema Dk Kikwete

‘Tume imependekeza kuwepo Kwa Muundo wa Serikali tatu, kwa kuwa itakuwa endelevu kutokana na Muundo uliopo sasa wa Serikali mbili”

Apigia debe Serikali mbili

Alisema kuna hatari ya Nchi kushindwa kujiendesha kukiwa na Muundo wa Serikali tatu ambapo alisema uamuzi wa kuwa na Serikali mbili au tatu uko mikononi mwa Wajumbe hao, na lazima waweze kupitia Ibara kwa Ibara, Sura kwa Sura na Neno kwa Neno, ili wakichagua Serikali tatu, wayaondoe mambo yatakayokuwa vikwazo kwa Nchi washirika, kwani kama watapitisha Muundo wa Serikali mbili hakutakuwa na tatizo.

Hata hivyo alisema Muundo wa Serikali tatu Tume ilipendekeza kuwa utumike kutokana na maoni ya Wananchi, ila mipaka ya Madaraka haijawekwa katika kipengele hicho na upande wa mapato ambayo hayajawekwa bayana na kusababisha malalamiko ambayo yamekuwepo kwamuda mrefu.

Anasema kuwa mjadala wa Muundo wa Katiba sio jambo geni kama alivyoeleza Juzi Mwenyekiti wa Tume ya Mabadilko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba kwani Mwaka 1984 ulikuwa chanzo cha Machafuko Zanzibar. Pia mwaka 1993 jambo hilo lilikuwa ni chanzo na G55.

Rais Kikwete amehutubia Bunge hilo, kwa mujibu wa kanuni ya 75 (1), inaeleza taarifa ya Katibu wa Bunge la Katiba, ambapo Viongozi wa Kitaifa wameingia Bungeni kwa maandamano wakiongozwa na Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Balozi Seif Ali Idi na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano, Dk. Mohamed Gharib Bilal.

Chanzo: FIKRA PEVU | KISIMA CHA BUSARA
By ijuekatiba

BUNGE LA KATIBA LAPATA WENYEVITI NA MAKATIBU

Na Naamala Samson,
Baada ya kuendeshwa kwa zaidi ya wiki tatu bila mwenyekiti wa kudumu wala kujadili rasimu ya katiba,sasa bunge maalum la katiba litaanza kujadili vipengele na ibara mbalimbali zilizomo ndani ya rasimu ya katiba kwani wajumbe wa bunge hili muhimu wameweza kufanya uchaguzi na kumchagua Mhe. Samwel Sitta awe Mwenyekiti wa kudumu wa bunge hili kwa muda uliosalia mpaka kupatikana kwa katiba mpya kabla ya katiba hiyo kurudi kwa wananchi kupigiwa kura.
Image
Kwa kitendo hiki kilichokuwa kinangojewa kwa hamu kubwa na wananchi, inatarajiwa sasa kusikia kama wajumbe wataweka maslahi ya taifa mbele au watajali tu maslahi yao binafsi na kuweka utaifa nyuma.

Ikumbukwe kuwa mashirika mengi yalikuwa yanapigia kelele suala zima la wajumbe hawa kutoangalia ubinafsi wao bali kuwaza taifa zima na kutengeneza katiba kwa ajili ya vizazi vijavyo ili Tanzania iwe nchi inayopiga hatua kwa kasi.
By ijuekatiba

ASASI YA VIJANA YA TYVA KUFANYA BARAZA LA KATIBA TAREHE 17 AGOSTI 2013

Image

Dear All,
TYVA is humbly inviting you to attend the Youth Constitutional Council to be held on Saturday 17th August 2013 at Peacock Hotel City Centre Mnazi Mmoja, Dar es Salaam from 08:00am to 4:00pm
The main Goal of the Youth Constitutional Council is to facilitate the collection of youth views on the recently released first draft of constitution, towards the process of writing the new constitution of United Republic of Tanzania.
TYVA will provide breakfast, Lunch Break and all refreshments during the conference. To show your commitment, TYVA request you to cover your own transport to and from the conference at Mnazi mmoja and we will NOT give any transport and sitting allowances to the participants.
Please confirm your participation by sending your Full name to Alfred Kiwuyo by Phone or Email before 14th August, 2013 for farther logistics arrangements. Should you have any questions, please do not hesitate to contact us through the addresses below.
Looking forward to have you on 17th August, 2013
Alfred Kiwuyo, 
Head, Lobbing, Advocacy and Networking (LAN)
akiwuyo@yahoo.ca 
+255 713 618 388 
Tanzania Youth Vision Association
By ijuekatiba

Mhe. Samuel Sitta afungua rasmi Baraza la Vijana la Taifa la Katiba leo jijini Dar es Salaam.

Na Benedict Liwenga.
 
WAZIRI wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki na Mbunge wa Urambo Mashiriki, Mhe. Samuel Sitta amewaaasa vijana kutoa maoni yao juu ya uundwaji wa Katiba mpya ambayo haijengi mifumno ya serikli ya Udikteta, ubinafsi na ambayo haitaibebesha mzigo Serikali.
 
Image
 
Hayo yamesemwa leo jijini Dar es Salaam na Mhe. Sitta wakati akifungua rasmi Baraza la Vijana la Taifa la Katiba lililoandaliwa na Taasisi ya vijana ya Tanzania Youth Coalition (TYC) kwa kushirikiana na Restless Development, UNFPA na ILO lililojumuisha vijana 120 kutoka Wialaya 50 za mikoa yote Tanzania Bara na Visiwani na ambao wanatoka katika mashirika mbalimbali, asasi, jumuiya na vikundi mbalimbali vya vijana.
 
Waziri Sitta amewaasa vijana kuwa TYC pamoja na vijana wengine nchini wanalojukumu kubwa la mapambano dhidi ya kupinga ulafi katika mambo ya uongozi, udikteta pamoja na ubinafsi kwani vinailetea mzigo serikali.
 
“Mtu ajue kuwa kutumia madaraka kwa manufaa yako mwenyewe ni mwiko”. Waziri Sitta alisema.
 
Waziri Sitta ameongeza kuwa vijana nchini wanatakiwa wawe Wanaharakati katika kujali maadili mema na kusimamia kwa dhati pamoja na kupigania haki na usawa nchini.
 
Image
 
Aidha, kwa upande mwingine Waziri Sitta amevishukuru vyombo vya habari kwa mchango wake mkubwa wa kufanya kazi ya kuhabarisha umma na npia ameipongeza taasisi ya vijana ya Tanzania Youth Coalition kwa kuandaa baraza hilo kwa vijana wenzao kwani litawasaidia kutambiua mabo ya msingi yanayohitajika kuwepo katika Katiba mpya ya nchi.
 
Waziri Sitta alisema kuwa katika kutoa maoni juu ya Katiba mpya, vijana wanaweza kupata katiba yenye manufaa mazuri au yenye athari kwa maisha yao, hivyo amewaasa vijana wote watumie fursa wanazozipata kupitia baraza hilo lililoandaliwa na TYC ili waweze kusikika katika mambo yanayohitajika katika Katiba mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
 
Taasisi ya vijana ya Tanzania Youth Coalition ni moja ya taasisi iliyoundwa kwa malengo ya kuhakikisha kuwa vijana wanashirki na kushirikishwa katika mchakato wa kuunda katiba mpya ulioanza mwaka jana hapa nchini.
 
Image
 
By ijuekatiba

VIONGOZI VIJANA WA YLTP 2013 WATOA MAENEO SITA YA KUZINGATIA KWENYE KATIBA

Image
Washiriki vijana katika mjadala kuhusu rasimu ya katiba.
Katika kuendelea na mchakato wa kutoa maoni kuhusu rasimu ya KATIBA ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, vijana wapatao 25 kutoka Tanzania Bara na Zanzibar, wanaoshiriki mafunzo ya uongozi yanayotolewa na Shirika la Kijerumani la Friedrich Ebert Stiftung(FES) wamefanya mjadala wa siku mbili wa kujadili rasimu hiyo na kutoa maeneo sita wanayoona yanatakiwa kupewa uzito katika kupata katiba mpya.
Maeneo hayo sita ni:
1.Kuimarisha vyombo vya kusimamia uwajibikaji.
2.Suala la umiliki wa Ardhi
3.Usimamiaji na ugawanyaji wa rasilimali.
4.Kutajwa kwa lugha ya kufundishia
5.Kutajwa suala la serikali za mitaa 
6.Mfumo mzima wa kubadili katiba hii kwenda mpya.

Image
Dr.Ayoub Rioba akitoa mada katika mjadala wa rasimu ya katiba katika ofisi za FES.

Tuesday, January 6, 2015

KAMATI YA BUNGE YA HESABU ZA SERIKALI (PAC)

KAMATI YA BUNGE YA HESABU ZA SERIKALI (PAC)
RASIMU YA RATIBA YA UKAGUZI WA MIRADI NA KUJADILI HESABU ZILIZOKAGULIWA ZA SERIKALI KUU NA MASHIRIKA YA UMMA KUANZIA TAREHE 05 HADI 24 JANUARI 2015,
MKOA WA MOROGORO NA OFISI NDOGO YA BUNGE, DAR ES SALAAM
__________­­­__________________________
SIKU/TAREHE
SHUGHULI
MHUSIKA
Jumatatu
05 Januari 2015
Wajumbe kuwasili Dar es Salaam
Katibu wa Bunge
Jumanne
06 Januari 2015

Wajumbe kusafiri kuelekea Morogoro
·   Wajumbe wa Kamati
·       Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG)
·       Msajili wa Hazina
Jumatano
07 Januari 2015
Ukaguzi wa Miradi ya RAHCO
·   Wajumbe wa Kamati
·       Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG)
·       Msajili wa Hazina
·       Mwenyekiti, Bodi ya RAHCO
Alhamisi
08 Januari 2015
Ukaguzi wa Miradi ya RAHCO

·   Wajumbe wa Kamati
·       Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG)
·       Msajili wa Hazina
·      Bodi ya RAHCO
Ijumaa
09 Januari 2015
Ukaguzi wa Miradi ya Kilimo
·   Wajumbe wa Kamati
·       Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG)
·       Msajili wa Hazina
·       Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika
Jumamosi
10 Januari 2015
Ukaguzi wa Miradi ya Kilimo
·   Wajumbe wa Kamati
·       Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG)
·       Msajili wa Hazina
·      Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika
Jumapili
11 Januari 2015
Wajumbe kuelekea Dar es Salaam
Katibu wa Bunge
Jumatatu
12 Januari 2015
Sherehe za Maadhimisho ya miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar
Wote
Jumanne
13 Januari 2015
·         Saa 4:00 Asubuhi
Kikao cha mashauriano (Consultative Meeting) na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG)
·         Saa 8:00 Mchana
Kikao cha mashauriano (Consultative Meeting) na Msajili wa Hazina (TR)
Ukumbi: Juma Akukweti
·   Wajumbe wa Kamati
·       Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG)
·       Msajili wa Hazina (TR)
Jumatano
14 Januari 2015
·         Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN)
·         Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC)


Ukumbi: Juma Akukweti
·   Wajumbe wa Kamati
·   Msajili wa Hazina
·      Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG)
·       Bodi ya TSN na TBC
Alhamisi
15 Januari 2015

·         Kujadili Taarifa ya Ukaguzi Maalum wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA)


Ukumbi: Juma Akukweti
·   Wajumbe wa Kamati
·   Msajili wa Hazina
·      Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG)
·   Bodi ya TPA
Ijumaa
16 Januari 2015
·         Bodi ya Sukari Tanzania
·         Bodi ya Korosho Tanzania



Ukumbi: Juma Akukweti
·   Wajumbe wa Kamati
·   Msajili wa Hazina
·      Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG)
·      Bodi ya Sukari
·      Bodi ya Korosho
Jumamosi na Jumapili
17-18 Januari ‘15
Mapumziko ya mwisho wa wiki
Wote
Jumatatu
19 Januari 2015
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)



Ukumbi: Juma Akukweti
·   Wajumbe wa Kamati
·   Msajili wa Hazina
·      Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG
·   Kamishna Mkuu, TRA
Jumanne
20 Januari 2015
·         Hesabu Jumuifu za Taifa
·         Kupokea na kujadili Taarifa ya Kamati ndogo ya PAC kuhusiana na Ukusanyaji mdogo wa kodi za Ardhi unaoikabili Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi


Ukumbi: Juma Akukweti
·   Wajumbe wa Kamati
·      Mhasibu Mkuu wa Serikali (AcGen)
·      Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG)
·       Mkurugenzi wa Idara ya Usimamizi wa Mali za Serikali (DGAM)
Jumatano
21 Januari 2015
·         Fungu 43 - Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika
·         Shirika la Maendeleo ya Petroli (TPDC)









Ukumbi: Juma Akukweti
·   Wajumbe wa Kamati
·      Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG)
·       Katibu Mkuu, Wizara ya Fedha (kuhudhuria kikao cha kujadili Hesabu za Fungu 43)
·      Mhasibu Mkuu wa Serikali (AcGen)
·      Msajili wa Hazina (TR)
·       Mkurugenzi wa Idara ya Usimamizi wa Mali za Serikali (DGAM)
·       Bodi ya TPDC
Alhamisi
22 Januari 2015
Maandalizi ya Taarifa ya mwaka ya Kamati

·   Wajumbe wa Kamati
·       Sekretarieti ya Kamati
Ijumaa
23 Januari 2015
Maandalizi ya Taarifa ya mwaka ya Kamati
Jumamosi na Jumapili
24-25 Januari 2015
Wajumbe kuelekea Dodoma
Katibu wa Bunge
TANBIHI: 

·         Vikao vyote vitaanza saa 4:30 Asubuhi.
·         Maafisa Masuuli waepuke kuambatana na Maafisa ambao hawatasaidia katika kujibu hoja.
·         Vitabu viifikie Kamati siku 3 kabla ya siku ya kikao.
·         Kamati itajadili Hesabu zilizokaguliwa za mafungu mbalimbali zinazoishia tarehe 30 Juni, 2013.