Nyakati za uchaguzi katika miaka iliyopita, kulikuwa na vurugu za kisiasa huko Zanzibar wakati watu walipokuwa wanajiandaa na uchaguzi, lakini si hivyo safari hii. Kampeni yote imekuwa ya amani na usalama. Hizi ni dalili njema kwa nchi yetu, kwa sababu inaonyesha kwamba watu sasa wameanza kuipokea DEMOKRASIA na kwamba wameanza kujishirikisha katika mchakato wa kisiasa.
Kampeni zitakoma rasmi tarehe 30 Oktoba 2010. ambapo Oktoba 31, Watanzania walipiga kura kumchagua kiongozi wao aliyepo Madarakani mpaka walati huu wa Mwaka wake wa Mwisho. Sisi sote tuna matumaini kwamba ametuongoza vyema ukiondoa habari za Ushabiki wa Kisiasa, kiongozi aliyechaguliwa kwa haki na aliyeiletea nchi yetu maendeleo makubwa katika nyanja mbali mbali. Zaidi ya yote ni Amani inapokuwa inatawala inazidi Raslimali yoyote katika nchi yenye Machafuko, hivyo sote tuna matumaini makubwa kwamba uchaguzi huu wa 2015 utakuwa wenye utulivu kama zilizovyokuwa katika uchaguzi uliopita na hata wakati wa kampeni.
Mungu aibariki Tanzania na Visiwa vyake.
Wednesday, January 7, 2015
kwamba kutokuwepo kwa vurugu katika kampeni za uchaguzi mwaka 2010 Tanzania Bara na Zanzibar ni ushahidi kwamba watu wameanza kuipokea na kuielewa demokrasia:
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment