Hivi sasa kuna nyenzo ya kiteknolojia ya Ushahidi ili kuripoti matukio
ya vurugu, fujo na mapigano katika tayari kwa ajili ya uchaguzi
Unaotarajiwa kufanyika mwaka huu.
Unaweza pia kutuma maombi ya kuwa mfasiri wa
kujitolea na mthibitishaji kupitia Fomu hii ya BALOZI WA DEMOKRASIA TANZANIA. wakati tunaelekea kwenye Uchaguzi mkuu, moja ya kura za maoni zungumzia nafasi nzuri kushinda kwa chama ama Kiongozi.
Bila kuwepo na upendeleaji wa chama
chochote katika uchaguzi lakini ni matumaini yetu kwamba uchaguzi
utaendeshwa kwa amani na Utulivu.
Ni matumaini yetu pia kwamba rafiki wa nchi ya
Tanzania ni wewe, Watanzania na wengine kama mataifa ya Wamarekani na Dunia nzima kwa ujumla, wote watakuwa salama kuhakikisha Tanzania inazidisha Amani na Utulivu.
UCHAGUZI ni msukumo wa pamoja kati ya
TACCEO, Tanzania; HIVOS, Uholanzi; Haki Elimu, Tanzania; Jumuiya kubwa
zaidi ya TEKNOHAMA nchini Tanzania – Jamii Forums, Tanzania; TWAWEZA ya
Rakesh Rajani, CRECO ya Kenya kwa kushirikiana na USHAHIDI na SODNET za
Kenya zote kama washirika wa kimkakati katika teknolojia.
No comments:
Post a Comment