KAMATI YA BUNGE YA HESABU
ZA SERIKALI (PAC)
RASIMU YA RATIBA YA UKAGUZI
WA MIRADI NA KUJADILI HESABU ZILIZOKAGULIWA ZA SERIKALI KUU NA MASHIRIKA YA
UMMA KUANZIA TAREHE 05 HADI 24 JANUARI 2015,
MKOA WA MOROGORO NA OFISI
NDOGO YA BUNGE, DAR ES SALAAM
____________________________________
SIKU/TAREHE
|
SHUGHULI
|
MHUSIKA
|
Jumatatu
05 Januari 2015
|
Wajumbe kuwasili
Dar es Salaam
|
Katibu wa Bunge
|
Jumanne
06 Januari 2015
|
Wajumbe kusafiri
kuelekea Morogoro
|
· Wajumbe wa Kamati
·
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu
wa Hesabu za Serikali (CAG)
· Msajili wa Hazina
|
Jumatano
07 Januari 2015
|
Ukaguzi wa
Miradi ya RAHCO
|
·
Wajumbe wa Kamati
· Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za
Serikali (CAG)
· Msajili wa Hazina
· Mwenyekiti, Bodi ya RAHCO
|
Alhamisi
08 Januari 2015
|
Ukaguzi wa
Miradi ya RAHCO
|
·
Wajumbe wa Kamati
· Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za
Serikali (CAG)
· Msajili wa Hazina
· Bodi ya RAHCO
|
Ijumaa
09 Januari 2015
|
Ukaguzi wa
Miradi ya Kilimo
|
·
Wajumbe wa Kamati
· Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za
Serikali (CAG)
· Msajili wa Hazina
·
Katibu Mkuu Wizara ya
Kilimo, Chakula na Ushirika
|
Jumamosi
10 Januari 2015
|
Ukaguzi wa
Miradi ya Kilimo
|
·
Wajumbe wa Kamati
· Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za
Serikali (CAG)
· Msajili wa Hazina
·
Katibu Mkuu Wizara ya
Kilimo, Chakula na Ushirika
|
Jumapili
11 Januari 2015
|
Wajumbe kuelekea Dar es Salaam
|
Katibu wa Bunge
|
Jumatatu
12 Januari 2015
|
Sherehe za Maadhimisho ya miaka 51 ya Mapinduzi ya
Zanzibar
|
Wote
|
Jumanne
13 Januari 2015
|
·
Saa 4:00 Asubuhi
Kikao cha mashauriano (Consultative
Meeting) na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG)
·
Saa 8:00 Mchana
Kikao cha mashauriano (Consultative
Meeting) na Msajili wa Hazina (TR)
Ukumbi: Juma Akukweti
|
·
Wajumbe wa Kamati
· Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za
Serikali (CAG)
· Msajili wa Hazina (TR)
|
Jumatano
14 Januari 2015
|
·
Kampuni ya Magazeti ya
Serikali (TSN)
·
Shirika la Utangazaji
Tanzania (TBC)
Ukumbi: Juma Akukweti
|
·
Wajumbe wa Kamati
·
Msajili wa Hazina
·
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu
wa Hesabu za Serikali (CAG)
· Bodi ya TSN na TBC
|
Alhamisi
15 Januari 2015
|
·
Kujadili
Taarifa ya Ukaguzi Maalum wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA)
Ukumbi: Juma
Akukweti
|
·
Wajumbe wa Kamati
·
Msajili wa Hazina
·
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu
wa Hesabu za Serikali (CAG)
·
Bodi ya TPA
|
Ijumaa
16 Januari 2015
|
·
Bodi ya Sukari Tanzania
·
Bodi ya
Korosho Tanzania
Ukumbi: Juma
Akukweti
|
·
Wajumbe wa Kamati
·
Msajili wa Hazina
· Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za
Serikali (CAG)
· Bodi ya Sukari
· Bodi ya Korosho
|
Jumamosi na Jumapili
17-18 Januari ‘15
|
Mapumziko ya mwisho wa wiki
|
Wote
|
Jumatatu
19 Januari 2015
|
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)
Ukumbi: Juma Akukweti
|
·
Wajumbe wa Kamati
·
Msajili wa Hazina
· Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za
Serikali (CAG
·
Kamishna Mkuu, TRA
|
Jumanne
20 Januari 2015
|
·
Hesabu Jumuifu za Taifa
·
Kupokea na kujadili
Taarifa ya Kamati ndogo ya PAC kuhusiana na Ukusanyaji mdogo wa kodi za
Ardhi unaoikabili Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi
Ukumbi: Juma
Akukweti
|
·
Wajumbe wa Kamati
· Mhasibu Mkuu wa Serikali (AcGen)
· Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za
Serikali (CAG)
· Mkurugenzi wa Idara ya Usimamizi wa Mali za
Serikali (DGAM)
|
Jumatano
21 Januari 2015
|
·
Fungu 43 - Wizara ya Kilimo,
Chakula na Ushirika
·
Shirika la Maendeleo ya
Petroli (TPDC)
Ukumbi: Juma
Akukweti
|
·
Wajumbe wa Kamati
· Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za
Serikali (CAG)
· Katibu Mkuu, Wizara ya Fedha (kuhudhuria kikao cha kujadili Hesabu za
Fungu 43)
· Mhasibu Mkuu wa Serikali (AcGen)
· Msajili wa Hazina (TR)
· Mkurugenzi wa Idara ya Usimamizi wa Mali za
Serikali (DGAM)
· Bodi ya TPDC
|
Alhamisi
22 Januari 2015
|
Maandalizi ya Taarifa ya mwaka ya Kamati
|
·
Wajumbe wa Kamati
· Sekretarieti ya Kamati
|
Ijumaa
23 Januari 2015
|
Maandalizi ya Taarifa ya mwaka ya Kamati
|
|
Jumamosi na Jumapili
24-25 Januari 2015
|
Wajumbe kuelekea Dodoma
|
Katibu wa Bunge
|
TANBIHI:
·
Vikao
vyote vitaanza saa 4:30 Asubuhi.
·
Maafisa
Masuuli waepuke kuambatana na Maafisa ambao hawatasaidia katika kujibu hoja.
·
Vitabu
viifikie Kamati siku 3 kabla ya siku ya kikao.
·
Kamati
itajadili Hesabu zilizokaguliwa za mafungu mbalimbali zinazoishia
tarehe 30 Juni, 2013.
No comments:
Post a Comment