UCHAGUZI TANZANIA BILA VURUGU INAWEZEKANA, BILA PANYA ROAD INAWEZEKANA ZAIDI. TUITUNZE AMANI TULIYONAYO.
UCHAGUZI 2015 TANZANIA imekuwa na jukwaa kubwa linalotumia tovuti mbali mbali ukilinganisha na miaka ya nyuma katika chaguzi.
USHAHIDI unaonyesha kwamba kuna Idadi kubwa ya Kampeni zinazofanywa kupitia
zana za kiteknolojia za simu za mkononi, Mitandao ya Kijamii na hivyo kuwezesha ushirikiano
ambao haukuwahi kuwepo kati ya waangalizi wa uchaguzi na raia katika
kuendesha na kunadi sera mbali mbali za Wagombea .
kusimamia uchaguzi katika muda unaokaribiana na wakati halisi ni jukumu la Tume ya Taifa ya Uchaguzi. uchaguzi wa Tanzania unatarajiwa kufanyika Mwishoni mwa Mwaka huu , na litakuwa
jambo la kufurahisha kuona jinsi zana hii inayowika itakavyochagiza
upatikanaji taarifa katika tukio hili la Kipekee.
No comments:
Post a Comment