RC WA RUVUMA SAID MWAMBUNGU AMSIMAMISHA KAZI AFISA UTUMISHI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA SONGEA.
BODI YA WATAALAMU WA MANUNUZI NA UGAVI YANG’ARA KIMATAIFA.
TANAPA KUBADILI MFUMO WA UTENDAJI KAZI KUTOKA KIRAIA KUWA JESHI USU
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) Allan
Kijazi akizungumza wakati waa hafla ya ya ufungaji wa mafunzo ya mfumo
wa Jeshi Usu kwa Wahifadhi na Askari Waajiriwa .
Meneja Mawasiliano wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) Pascal
Shelutete (kulia) akiratibu shughuli mbalimbali zilizokuwa zikiendelea
katika hafla ya ya ufungaji wa Mafunzo ya Mfumo wa Jeshi Usu kwa
Wahifadhi na Asakari Waajiriwa .kushoto ni Mkuu wa Mafunzo ,Genes Shayo .
Mhifadhi Sekela Mwangota akisoma risala ya Wahitimu wa Mafunzo ya
Mfumo wa Jeshi Usu kwa mgeni rasmi ,Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na
Utalii,Meja Jenerali Gaudence Milanzi (hayupo pichani) wakati wa
kuhitimisha mafunzo hayo kwa wahifadhi na askari wapya waaajiriwa wa
shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) yaliyofanyika kwenye kambi ya
Mafunzo Mlele mkoani Katavi.
CHURA KUJAKIVINGINE.
Meneja
wa msanii Wa Bongo Movie Snura Mushi (Snura), Hemed Kavu akizungumza na
waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo na kuwaomba radhi wa
tanzania kwa video ya wimbo wa Msanii Snura na wimbo wake wa Chura.
Snura
amesema kuwa yupo tayari kufanya upya video ya Wimbo wake wa chura
ambayo itafuata maadili ya kitanzania kwani tayari ameshachukua vibali
vya kufanya upya video ya wimbo huo.Msanii Wa Bongo Movie
Snura Mushi (Snura) amewaomba radhi watanzania kwaujumla pamoja na
vyombo vya serikali vinavyosimamia sekta ya sanaa kwa kutokufuata sheria
na kanuni na taratibu zilizopo katika uendeshaji wa sanaa.
Ameyasema hayo leo wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, radhi hiyo imekuja mara baada ya Wizara ya Habari,Utamaduni, Sanaa na Michezo jana kufungia video ya wimbo wa msanii huyo wa Chura ikiwa ni pamoja na kutoonyeshwa kwenye Televisheni pamoja na kupigwa kwenye redio. Amesema kuwa tayari video ya wimbo huo ameshatoa kwenye mtandao wa kijamii wa Youtube. Msanii Wa Bongo Movie Snura Mushi (Snura) awaomba radhi watanzania kwa kufanya video isiyo na maadili ya kitanzania ya wimbo wake wa Chura ameomba radhi watanzania mbele ya waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo.
Ameyasema hayo leo wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, radhi hiyo imekuja mara baada ya Wizara ya Habari,Utamaduni, Sanaa na Michezo jana kufungia video ya wimbo wa msanii huyo wa Chura ikiwa ni pamoja na kutoonyeshwa kwenye Televisheni pamoja na kupigwa kwenye redio. Amesema kuwa tayari video ya wimbo huo ameshatoa kwenye mtandao wa kijamii wa Youtube. Msanii Wa Bongo Movie Snura Mushi (Snura) awaomba radhi watanzania kwa kufanya video isiyo na maadili ya kitanzania ya wimbo wake wa Chura ameomba radhi watanzania mbele ya waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo.
VYOMBO VYA HABARI ASILIA (wa makaratasini) HOI BIN TAABAN WAKATI VYA digitali (wa mitandaoni) VYAPETA
Vyombo
vya habari vya asilia, hususan magazeti, vinakufa. Hivi sasa vvyombo
hivyo vinajikongoja kutokana na mauzo hafifu na mdororo wa mapato
kutoka matangazo na kupunguza wafanyakazi.
Katika utafiti wake wa hali ya vyombo vya habari 2015 ("State of the News Media 2015,”) imeonesha
kwamba katika vyombo vya habari vya karatasi (print media), Digitali na
TV, imeonesha Dhahiri kwamba magazeti yanaelekea kuzimu.
Utafiti
huo umetolea mfano magazeti makubwa ambapo wasomaji wake wa mtandaoni
wamewashinda kwa mbali kwa idadi ya wasomaji wa makaratasini, ambapo
gazeti kubwa sana la New York Times la Marekani limetangaza kuwa nakala
zake zipatazo 650,000 kwa wiki zimepitwa kwa mbali sana na wa mitandaoni
.
Hivi sasa kuna mjadala mitandaoni endapo kama Tanzania iko ama itafika huko. Mabishano
ni makali ambapo wa makaratasini wanashikilia msimamo wao kuwa nchini
hapa tasni ya habari mtandaoni bado ni changa sana kuweza kutishia
amani ya magazeti.
Upande
wa digitali unajibu kwamba endapo kama kuna wahariri viburi wanaobeza
kasi ya mitandao, basi wakae mkao wa kulala njaa muda si mrefu ujao,
maana ni wachache wanaoendelea kupata habari kwa njia asili ya
magazeti.
Upande
wa digitali umeyasifia magazeti ya Global Publishers na la Mwananchi
anbayo ni dhahiri yana wahariri wanaokwenda na wakati na wanaojua nini
wanachokifanya kwa kuanza na mapema kuogelea bahari ya maendeleo ya
tasnia kwa vitendo kwa kuwa na vitengo vya mtandao vinavyopelekesha mbio
magazeti yanayobeza technolojia hio kwa kubuni.
No comments:
Post a Comment