WANANCHI MKOANI TABORA WATAKA MIGOGORO YA ARDHI IMALIZWE NA SERA MPYA YA ARDHI
Hamisi
Maduka Kaimu mwenyekiti wa Kijiji cha Kigwa B wilaya ya Uyuwi Mkoani
Tabora akitoa maoni yake mbele ya Kamati ya kukusanya Maoni ya kuboresha
Sera ya Taifa ya Ardhi ya 1995 ambaye alisistiza ulipaji wa fidia za
Ardhi uzingatie uhalisia wa thamani ya eneo husika.Abdallah
Moto mkazi wa Kijiji cha Kigwa B wilaya ya Uyuwi Mkoani Tabora akitoa
maoni yake kwa Kamati ya kukusanya Maoni ya kuboresha Sera ya Taifa ya
Ardhi ya 1995 kuhusu suala la kupewa kipaumbele utoaji wa hati miliki
kwa wanavijiji.Shakira
Masudi mkazi wa Kijiji cha Kigwa B wilaya ya Uyuwi Mkoani Tabora akitoa
maoni yake mbele ya Kamati ya kukusanya Maoni ya kuboresha Sera ya
Taifa ya Ardhi ya 1995 ambaye alitaka Sera itambue wamiliki wa Ardhi wa
maeneo wa muda mrefu katika kutoa Hati.Mwl.
Hadija Nyembo mkuu wa wilaya ya Kaliua mkoa wa Tabora akisisitiza jambo
mbele ya Kamati ya kukusanya Maoni ya kuboresha Sera ya Taifa ya Ardhi
ya 1995 wakati akitoa maoni yake kuhusu Umiliki wa Ardhi mkoani Tabora.Hanifa
Selengu Mkuu wa wilaya ya Sikonge mkoa wa Tabora akisisitiza jambo
mbele ya Kamati ya kukusanya Maoni ya kuboresha Sera ya Taifa ya Ardhi
ya 1995 wakati akitoa maoni yake kuhusu Umiliki wa Ardhi mkoani Tabora.
Picha zote na Kitengo cha Mawasiliano Wizara ya Ardhi.
HOSPITALI YA MUHIMBILI YAFUNA KAMBI YA MADAKTARI BINGWA WA MATATIZO YA MOYO JIJINI DAR ES SALAAMLEO.
Naibu
waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto,
Dkt. Khamis Kigwangala akizungumza hatika hafla ya kufunga kambi ya
madakitari wa Moyo kutoka Saudi Arabia na Qutar waliokuwa katika
hospitali ya Taifa ya Muhimbili, haflaa hiyo imefanyika jijini Dar es
Salaam na kuwaaga madaktari wa nchi hizo.
No comments:
Post a Comment