Waziri
wa Fedha Dr. William Mgimwa (kushoto) akizungumza na waandishi wa
habari leo jijini Dar es salaam kuhusu Mkutano wa Mwaka wa Benki ya
Maendeleo ya Afrika (AfDB) unaotarajia kuanza mjini Arusha kuanzia
tarehe 28 Mwezi huu na utafunguliwa rasmi na Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete tarehe 31 Mwezi huu. Kulia ni
Mwakilishi wa Benki hiyo hapa nchini Bi. Tonia Kandiero.
Picha na Tiganya Vincent, MAELEZO- Dar es salaam
No comments:
Post a Comment